Wednesday, September 7, 2016

A.alaykum wapendwa wa bwana natumai nyote mko wazima wa afya na mimi mungu ananiweka vizuri. Nifuraha yangu kuwa na afya njema katika kipindi hiki cha field.
Wapendwa rafiki baada ya kumaliza mwaka wangu wa pili wa kimasomo katika chuo kikuu cha taifa zanzibar (suza) nimefanikiwa kuingia katika mafunzo ya vitendo (field) ya fani yangu ninayo somea ya ualimu wa history na kiswahili katika skuli ya sekondari ya mpendae iliopo mjini zanzibar hivyo walimu wa skuli hio wanenipokea vizuri na kuniweka st vizuri na wanafunzi wa skuli hio wa kidato cha kwanza hadi Sita ila kwa upande wangu niliamua kua nao wanafunzi wa kidato cha tatu na nne kutokana na mambo mengine ya kijamii nilionao na namshukuru mungu tunaenda vizuri. Wapendwa rafiki karibuni Sana skulini kwangu mpendae zanzibar. I would like to say welcome mpendae secondary school. Thaks
Add caption